Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ule wakati uko chuo ndiyo umeanza kuonja pombe, mnaitana vyumbani Jumamosi au Ijumaa jioni mnaanza kunywa bapa kabla ya mtoko ili mkifika club unywe moja tu kubana matumizi.
Umeanza kupenda wine na hata wataalamu wa afya wanasema red wine ni nzuri kabla ya kulala inasaidia mapigo ya moyo.
Umeanza kazi sasa unauwezo wa kunywa red wine kwa kijinafasi. Lakini inabidi unywe glass moja tu kuogoba unene.