Iwe mahusiano, uchumi utawala, sayansi na teknolojia nk.
Funzo bora katika maisha ni lile linalokupata ukahangaika nalo mwisho wa siku ukavuka "tunajifunza Kutokana na makosa etc." sasa je wewe umepata funzo gani hapa duniani?
Tizama hii video na karibu utushirikishe kwa chochote kile
Maxence Melo, anasema kwamba " katika utawala kuna baadhi ya viongozi katika kipindi cha utawala wa Ndugu Rais MAGUFULI, walilipata funzo baada ya sheria na kanuni walizozitumia hapo kabla kuhukumu watu na walikua wanaona sawa tu, walikuja kugundua kuwa ni sheria mbaya na ni kandamizi (hazitendi haki) pindi zilipokuja kutumikia dhidi yao... Na walitamani ziboreshwe."