Mimi ni kijana umri miaka 24, elimu ni digrii moja ya uchumi; Kazi ni mwajiriwa na mfanyabiashara.
Ninaishi dar maeneo ya Morocco natafuta mwanamke anayejielewa kuhusu maisha/mtafutaji /life patner/mshahuri/mentors kigezo kikubwa kichwani awe safi ili aweze kuwa catalyst nzuri kwenye maisha . Kwa nini nimeamua kumtafuta mtu wa kusaidiana naye maisha?
Kwanza wanawake wengi ninaokutana nao hawajielewi kimaisha wadada wengi chini ya miaka 24 wanaona still wana mda wa kuendelea kuchezea maisha. Pili nimekuwa natamani kufungua biashara nyingi sana ila nakosa time ya kuzisimamia zinakufa...naamini nikiwa na mtu wa kunisaidia anaweza akasimamia kwa ufanisi.
Pia umri unaenda na naona nina kila kitu ninachohitaji ili kuanza mahusiano ya kudumu na mtu na wanawake ninaokuwa nao wengi naona wananipotezea mda siwaelewi kabisa. Mtu aliyeokoka itapendeza. Mtu ambaye anaona anaweza akawa mshahuri nzuri/mke/ na anajielewa anicheki pm plz. Nawatakieni jumapili njema
Note: pia maisha ya kabla ya ndoa nimegundua napoteza hela & time yangu nyingi kwa watu ambao hata future nao sina. Bora hela yangu iliwe na mke/mtoto wangu kuliko mpita njia ambaye hatakuja kuwa na shukrani na kama mjuavyo finali ya uzeeni haipo mbali miaka inakimbia sana