Life mentor/wife materials/ mtu anayeweza kuleta badiliko kwenye maisha

Life mentor/wife materials/ mtu anayeweza kuleta badiliko kwenye maisha

Sidhani kama utampenda (upendo) mtu pasipo na sababu ya kumpenda. Akipata sababu ya kumlenda chemistry itajengeka tu.

Biashara unakuta ya duka la rejareja au kibanda cha chipsi uajiri meneja kweli!
anayehitajika ni msaidizi na yeye anaonekana hii kwake sio fursa ..bora akawaachia wanaojielewa mkuu
 
Mkuu tangaza nafasi za kazi warembo watakuja tu wakuzid na moja ya sifa awe single ila take care watu watakana watu wao
 
Nakupa pongezi kwa kujitambua,ila ukija kutajirika usije ukamfukuza au kumfanyia visa
 
Nakupa pongezi kwa kujitambua,ila ukija kutajirika usije ukamfukuza au kumfanyia visa
Haya maisha usipogundua mapema unaweza kuta mtu unagonga 30 huna mtoto/nyumba/kiwanja na bado unaburuzwa na mabosi wa kiswahili
 
Back
Top Bottom