Life! Sitolisahau hili


kumtembelea ndungu yako sio vibaya ila swala la kulala hapo hapo sio poa kabisa hapo sista alikosea[emoji16][emoji16] nakumbuka mwaka flan nilirudig kufanya sap chuo na sikua na pakukaa ila bro aliniombea kwa manzi yake hifadhi ko nikaishi ila kula na kila kitu ilikua kwa bro kulala na ishu mingine kwa manzi yake
 
Hayo Ni Maisha Dogo Wala Yasikutoe Mchezoni kutembelewa na Dada na Ndugu Yoyte na Ukiwa Huna Pa kukaa Wala Chakula Sio Dhambi Coz Wao waliona Kwako Kuna Nafuu Kumbe Wewe pia Ni Shida Tupu wee unachotakiwa Kufanya Ni Kuforcas unachofanya Kama Kusoma Soma Kwa Bidii Kama Kazi Piga kwa Bidii na Akili icharge Mara mbili Ili uongeze kipato hiyo ndo chanzo Cha wewe Kutusua Mbele ya Safari na Sista na Ndugu Wengine watapata matunda Mbele ya Safari Ila Ukichezea na kuzembea Basi Wee Ndo utakuwa Mzigo na Kuongeza Shida Kwenye Ukoo wenu wakti Walikutegemea Ndugu Yao Umefika Ngazi ya chuo Basi una Nafuu na Mwanga Kwenye Maisha haya./see at the top /
 
Njoo maliza kaka huu uzi umekaa pow
 
Ni wewe Nyumbani milo mitatu uhakika shida tu pësa tu ya kufanya extra thing nje na kula ndo kipengele
 
Busara zako zimenipa mwanga na nguvu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…