Nashukuru sana, ila nahitaji kujua specific time.mkuu kwa ufaham wangu Y ina life span ndogo kulinganisha na X...
Ila Y ina high motility(speed) kulinganisha na X
Zipi hizo?Y huwa spidi kali lakini zinakufa within 24hrs WHILE X hazina presha zinakwenda mdogo mdogo paka 72hrs ndo maana watoto wengi siku hizi ni majike, ila kuna style za mpz ambazo zinawez saidia kufanya Y zikimbie haraka kwenda kufanya fertilization
Zipi hizo?
Haya mambo yako more theoretical na hayana uhalisia wowote katika real life.