Life span of X and Y Chromosomes.

Life span of X and Y Chromosomes.

JAK

Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
92
Reaction score
20
Tafadhali naomba ufafanuzi, ni kwa muda gani X na Y chromosome zinakaa kwenye sehemu ya uzazi wa mwanamke baada ya kujamiiana na zikiwa na uwezo wa kurutubisha yai la mwanamke likitoka?. Nawashilisha.
 
mkuu kwa ufaham wangu Y ina life span ndogo kulinganisha na X...
Ila Y ina high motility(speed) kulinganisha na X
 
Y huwa spidi kali lakini zinakufa within 24hrs WHILE X hazina presha zinakwenda mdogo mdogo paka 72hrs ndo maana watoto wengi siku hizi ni majike, ila kuna style za mpz ambazo zinawez saidia kufanya Y zikimbie haraka kwenda kufanya fertilization
 
Haya mambo yako more theoretical na hayana uhalisia wowote katika real life.
 
Y huwa spidi kali lakini zinakufa within 24hrs WHILE X hazina presha zinakwenda mdogo mdogo paka 72hrs ndo maana watoto wengi siku hizi ni majike, ila kuna style za mpz ambazo zinawez saidia kufanya Y zikimbie haraka kwenda kufanya fertilization
Zipi hizo?
 
nI KWELI Dogy style one of the popular techniques inayowezesha fast swimming ya Y Xsome for fertilization
If need more PM me
 
Back
Top Bottom