Life without a husband

Life without a husband

Ijuganyondo

Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
62
Reaction score
1
Eti ni kweli kwamba mwanamke bila mume&and vice versa hajakamilika?? Je ni muhimu kuoa/kuolewa?
 
Hii post leo sijui ya ngapi duuhhh haya bana!!
 
We umeoa/olewa??Kama ndio je unajiona umekamilika kuliko mwanzo??Kama hapana je unahisi hujakamilika?Majibu unayo mwenyewe!
 
Hii post leo sijui ya ngapi duuhhh haya bana!!

Sio wote wanaojua post zipi zimesha zungumzwa hapa! Wapya wanaingia kila siku, so take it easy! Msaidie
 
hii inatakiwa waliooa/kuolewa ndio watupe exp...
 
We umeoa/olewa??Kama ndio je unajiona umekamilika kuliko mwanzo??Kama hapana je unahisi hujakamilika?Majibu unayo mwenyewe!

Daah! Punguzeni majibu ya kumnyamazisha mtu, mpeni nafasi nae ajione yupo kundini.
 
We umeoa/olewa??Kama ndio je unajiona umekamilika kuliko mwanzo??Kama hapana je unahisi hujakamilika?Majibu unayo mwenyewe!

Lizzy, mwenzetu anahitaji tufanye discussion! Kama hii thread ilishapita hapa basi tumjibu tu kwamba tulishaiongelea! Nadhani ataelewa zaidi kuliko kumpa jibu kama hilo juu
 
duuuhh nipe nikiolewa tu ntakuletea jibu..
lakini unatakiwa uwe passion with me..
kwa sababu jibu litachelewa...lol:car:
 
kwani kuolewa kunaongeza nini katika maisha yako kama mwanamke
 
Kwa mwanamke life without husband nadhani inawezekana fo the following reasons:

now a days we are so independent-tunafanya kazi na tuna uwezo wa kuhudumia familia.

tunaweza kuzaa bila ya mwanaume--unaenda kununua sperms

la mwisho unaweza kumaliza haja zako mwenyewe-kumbuka wanawake pia wanapiga nyeto halafu ukiwa na ile vibrator(dildo) ndio inamaliza kila kitu
 
Kipengele cha kwanza umepatia tunafanya kazi na kupata vipato kuliko hao wanaume wakati mwingine,ila huku kwingine sidhani kama kuna ukweli sio wote wanaopiga nyeto,mimi binafsi yangu wala siijui inafanywaje,ila siku nikitaka mtoto najua ntapata sihitaji ndoa,na haja nyingine ntatimiziwa sihitaji ndoa.
 
Kwa mwanamke life without husband nadhani inawezekana fo the following reasons:

now a days we are so independent-tunafanya kazi na tuna uwezo wa kuhudumia familia.

tunaweza kuzaa bila ya mwanaume--unaenda kununua sperms

la mwisho unaweza kumaliza haja zako mwenyewe-kumbuka wanawake pia wanapiga nyeto halafu ukiwa na ile vibrator(dildo) ndio inamaliza kila kitu

Mwanamke kama hana mume/ndoa, hata awe na uwezo namna gani ukamilifu wake hautakuwa sawa na yule mwenye ndoa/mume. Vivyo hivyo kwa mwanaume pia. Msuli wa pesa haununui UPENDO ktk maisha, haununui AMANI, haununui FURAHA.

Mungu ana maana yake kuumba Mume na Mke
 
Kuwa knye ndoa kuna raha yake espcl mnapenda na uko free na mwenzio, mnatoka pamoja any time ukimtaka unampata
 
Mi naona ukipata a guy who knows the value of a woman and mnamatch,then unaeza kuwa complt,ila ukipata hao wanaocompare a wife with a tv,mbona utakua pieces badala ya complt..so it depends kwakweli!u can be happier with o without a man.
 
Marriage is not like a Boomerang sometimes hupati unachotoa na sometimes you get what you dont deserve... What do I mean you migt ask?, It depends you can not generalise watu wapo tofauti, other marriages are good other are worse....

Kujibu swali lako depends na partner wako, kama ana busara then obvious the two of you mtakuwa more complete than one... cause two heads are better than one..

Kama partner wako atakuwa mzigo kwako basi hata ule ucomplete wako wa before utakwisha.
 
Nadhani ataelewa zaidi kuliko kumpa jibu kama hilo juu
Hayo maneno sio ya kumnyamazisha ila ndo ukweli wenyewe!!Ndoa kama kitu kingine chochote kile kinaweza kua - au + kutegemea na mtu mwenyewe!Vile vile kwenye ukamilifu..inaweza kukukamilisha au kukuharibia kama ulikua nao mwanzo!So ndio jibu analo yeye inapomhusu yeye na mimi nnalo inaponihusu mimi!It's an individual thing...afikirie akiwa single anajionaje na akiwa na mtu anajionaje atakua amepata jibu!
 
Back
Top Bottom