mtwevealfred
Member
- Mar 13, 2019
- 6
- 4
Sisi ndio wale watoto Mama zenu walikuwa wanawaambia msicheze na sisi halafu tulipokuwa wakubwa wakaanza kuwaambia kaa vizuri na wenzio watakupa maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app