Lift na magari ya wizi.kwa wakubwa tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Daah

Chaja bana. Hii sredi bana humu ndo inafiti sana wandugu, tena hii ni FAIVU STAA sredi. Naomba sana wakuu wote waliowakilisha festi sredi muwepo

CPU utanipa lift kwenye lile gari lako la taka?? Au starlet parking no matatizo
 
jaman sina wa kunipa lift naombeni hata ya mkokoteni nijue inakuwaje hapo
 
kuna kipindi ukiwa umepak gari lako nyumbani na mara ukapata kisafari cha gafla kufika benk mara moja.....ile unataka kuliwasha linagoma....na kuanza kulalamika kua halina maji ya kutosha ukitaka kuongeza maji linagoma....hapo hapo hasira zinakukaba unapiga teke tairi lake na unalipaki hapo nyumbani..... ukiwa umekaa mbele ya nyumba yako mara unaona vistalet vinapita..... unaamua kusimamisha moja na kuomba lift.....wakati mwingine nikwambe mh charger yale magari ya nyumbani huwa baada ya kuona yanapakiwa ndani ya geti kuba huwa yanakuwana na kiburi sana.....sasa hivi vi stalet au vibajaj hivi kaka huwa haina kelele sana...tatizo la hivi ni moja kikipata pancha barabaran...kila mtu ataona kuwa umeharibikwa na wengi watashangaa kwa nini una kibajaj wakti home umepak hummer lako......

halafu kingine ni kwamba hivi vi bajaji na vitz huwa ni stress remover!!!
 
Edson heshima kwako mkuu!:lol::lol:
 
Genekai nimekusoma mkuu tupe mambo sasa!
 
Papa upo? huu utaalam unaupata wapi papaaa?:lol::lol:
 
CPU upo mkuu?last time nilikuwa najiuliza sana hivi hawa CPU,MUHOSNI,KLOROKWINI,LIZZY na KIBWEKA hawana magari mbona saa za safari wao ndio kwanza wanarandaranda vituoni?au ni wapiga debe au wezi wa mifukoni au wezi wa simu au wamepungukiwa nauli au wamepoteza tiketi?:lol::lol::lol: ha ha haaaaa watu tunao jamvini11
Daah

Chaja bana. Hii sredi bana humu ndo inafiti sana wandugu, tena hii ni FAIVU STAA sredi. Naomba sana wakuu wote waliowakilisha festi sredi muwepo
 
hahahaha..mkuu mada zako kweli ni kwa wakubwa tuu..maana watoto kamwe hawatokaa wakuelewe..back to topic mkuu. Haya magari mkuu isishangae kwann mtu anaacha Vogue lako nyumban anapamba bajaji..kuna ladha yake..huenda kuna kitu amekikosa kwenye vogue na pia vogue kuna sehemu halipiti lakin bajaji au gari ya mkaa inapitishwa kwa spidi 180 na haisikii makorongo. sio kama ni gharama kuimiliki vougue hapana ni kwamba tuu kuna mtu mtumiaji wa hiyo gari ya mkaa amevutiwa nacho labda. fikiria mtu anakutwa kwenye gari ya magogo halaf huyo huyo ana Porsche imepaki nyumbani, mim mtazamo wangu kama unamiliki murrano basi jitahidi labda uombe lift kwenye Rolls Royse na sio starlet

 
Ha ha haaaa sasa vince unataka kusema kuwa hao wamiliki kutokana na tabia zao za kuendesha vibaya na kupita kwenye makorongo wanazionea huruma gari zao za home?
 
Gari la wizi halilipiwi ushuru charger, Pia Vistarlet rahisi kupaki mjini siku hzi parking shida sana

haa aha aaaaaaaaa!!!! Gaga umeniacha hoi, ni kweli la wizi halilipiwi ushuru lakini gharama yake kubwa, na parking za magari ya wizi bei yake iko juu kutokana na kuyaficha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…