Lift Sanctions on Burundi Before we Agree to Sign EPA- M7, Magufuli

Madikteta na wauaji wakubwa EAC yote ni Uhuru na William, wameua watu wengi kuliko Rais yeyote mnayemuita dikteta.

Oh, I thot it was M7 and Kagame. Thanx for the info.
But I was only challenging that fellow's comment that we shldnt challenge those in power cos they are authorities ordained by God.
 

Tatizo watu mnakurupuka kwa kuokota habari zilizopikwa na viblog uchwara. Hilo la Burundi ni jambo dogo alilosema, aliongea na mengine muhimu zaidi kuhusu EPA. Jitahidi kutafuta hotuba za viongozi na sio kuja na nukuu za viblog uchwara.
Angalia hapa chini nini alichosema, dakika ya 12:33-14:15.

 
Una point nzuri nieleweshe
My good friend nimekuwa nasoma juu ya finishing sheep and goat lambs products for meat nkapushiwa kwa section flani Youtube kuihusu Newzealnd being a leader at sheep meat production in large scale

Sheep out number people in NZ 1:10

They wean sheeps at age 45 DAY YEAH THAT IS RIGHT DAYS

ALAFU WANAZILISHA FOR UPTO 90 days Days on end each day zinagain about 0.1kgs by 3months zina kuwa processes kuincrease value of meat juu ukitoa nyama mfupa inakuwa double the price

Alafu 12% inabaki Newzealnd 88% is exported most to EU and North America and SA .....

They Generated 7bn$ last year from Sales to EU alone hatujaingia USA ....


UKIENDA AUSTRALIA FYI Climate in australia is just like Kenya

Huko outback Farmers have about a million heads of cattle each selling 22bn$ worth of cow meat annually in exports .....

Australia is as dry as Kenya and they use Animals like the Boran and Zebu cows Gaining 2-2.4kgs a day under intense feeding programs

Kenya hapa north eastern inaweza fika hapo our leaders wakitaka especially counties like Marsabit Turkanana Tana river

Marsabit is 70,000km2
Twice the size of Belgium

Marsabit has less than 300,000 people
Belgium has 15mn people
They have lake Turkana belgium is landlocked .....

Wakiamua kurear 2mn cows for beef yearly watakuwa wanamake 10-12bn$ in exports alone but tuko hapa tuna lalia tu maskio...tukiulizwa kitu tunasema lack of funding hehehe jews settled in israel and went out each individually to clear the vast deserts ARABs deemed useless and made that usefull.....Africa tuna shiiiida man

Belgium agricultural sales stood at 34bn$ in 2016....that is agriculture alone

Belgium is Half the size of Turkana county.....


In South Africa there is The Karan Farm...outside Joburg producing
100,000 heads of cattle annually making 200mn$ a year on 45,000 acres

Hapa Laikipia Wazungu wana (example ya Kuki gallman) 100,000acres of farm being used as a conservancy

Delamare Nakuru anaAbout 90,000acres na only 25% ndio iko under use- rainfed agriculture.....
 
Unasahau, New Zealand and Australia ni diaspora wa Europe. They get preferential treatment when it come to trade deals na wazungu wenzao. Kama ilivyokuwa enzi za white South Africa.
 
Unasahau, New Zealand and Australia ni diaspora wa Europe. They get preferential treatment when it come to trade deals na wazungu wenzao. Kama ilivyokuwa enzi za white South Africa.
Brazil je??
Brazil ndio second highest beef producer after USA...

CHINA JE?
Japan Je?
Morocco Je??

Wacheni kujisell short
 
Brazil je??
Brazil ndio second highest beef producer after USA...

CHINA JE?
Japan Je?
Morocco Je??

Wacheni kujisell short
Hakuna anayetaka kujirudisha au to sale ourselves short, ukifanya research, utaona large scale farming ya Brazil and Argentina are owned by the American multinationals pamoja na wakulima wakubwa wa Marekani. Those guys supply at least 70-80% of world meat. Wanauza Europe, China, Japan mpaka Africa wanatuletea cheap chicken meat zinazotoka Brazil na nchi zingine. Unafikiri nchi zingine hawawezi kufanya the same, but ukifanya tuu unatafuta ugomvi na US interests. Africa we have more than 60% of world arable land but hakuna anataka tuendelee especially the West. The aim is to keep us on vicious circle of poverty, and when your poor, your no longer a threat to anyone.

Africa mnaweza kujitahidi na kuanza kuuza nyama zenu nje, lakini kama hiyo business is not run by them (wazungu) you'll endup on the cliff. Ask yourself this, why we have Chinese opening abattoir all over Africa controlling what is sold on there market but they don't do the same to Brazil of Argentina. They do that because they don't trust Africans, and second is because they can. Mkiwazuwia kufanya hivyo na loan ya SGR wanawanyima.

Where was Zimbabwe before Mugabe factor, walikuwa wanauza chakula kuliko hata South Africa. Leo hii wako wapi? We depend on wazungu knowledge, on there technology, and on there markets and sometime on there money. Leo hii Kenya mko pabaya na EPA sio kwasababu ya Tanzania na Uganda tuu, kama Kenya ingekuwa New Zealand au Canada solution ingekuwa mezani by yesterday.

Kilichobaki ni kufuata nyayo za North Korea, wamemfungia ndani lakini huko huko ndani wamekuja na vitu mpaka the West wamekaa chini. We've an internal Africa market lakini hakuna anaeligusa, we're all busy with far and wide markets ambapo tunapangiwa nini cha kufanya na maranyingine hata bei hatuwezi kupata tunayoitaka sisi.
 
But Burundi is a full member of the EAC.
It is good to support them when need be. Besides, the EPA deal requires ALL member states to sign. What happens when it is only Burundi that won't sign?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…