Ligi Daraja la Kwanza 2014/15, updates hapa

Uwanja wa Ccm Vwawa Ni mapumziko Kimondo 0 Kurugenzi Mufindi 0, Kurugenzi wanacheza kujihami wanasaka droo, naona kujiangusha kwingi na kupoteza muda
 
Mwakan nasikia zinapanda timu nne na timu mbili znashuka daraja
 
Kutoka Uwanja wa Karume, Friends Rangers vs Majimaji... Saa 10 Jioni!
 
Wachezaji wa Friends Rangers wakipasha misuli kabla ya pambano lao na Majimaji


cc: joriki
 
Last edited by a moderator:
Kikosi cha Friend Rangers kinachoanza pambano la leo

cc: mkolaj
 
Last edited by a moderator:
Dk 45 kipindi cha kwanza friends 1-1 majimaji goal la penalt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…