Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
alipigwa 1 bila na timu tutoka tabora
vipi kundi A?
Majimaji atakuwa yuko juu tu, maana juzi kashinda na JKT Mlale, game aliyofungwa na Friends Rangers haijawaathiri maana waliwaacha pointi nyingi sana.
vipi kundi A?
Maveterani wetu wametisha, Mbuna bado anarusha mipira yake mirefu? Jamaa wangu alinitumia picha kutoka Uwanja wa Majimaji, kitu kama Premier LEague vile...
Kwahiyo timu 2 kutoka kila kundi ndo zitapanda?
Nachojua itapanda maji maji na timu nyingine 3!!Kwahiyo timu 2 kutoka kila kundi ndo zitapanda?
Ligi Daraja la Kwanza
FT: African Sports 1-1 Friends Rangers
FT: Polisi Dar 1-1 African Lyon
Kwa mujibu wa TFF