Ligi Daraja la Kwanza 2014/15, updates hapa

Ligi Daraja la Kwanza 2014/15, updates hapa

Majimaji atakuwa yuko juu tu, maana juzi kashinda na JKT Mlale, game aliyofungwa na Friends Rangers haijawaathiri maana waliwaacha pointi nyingi sana.


Mbuna na kudra omary warudishwe T.staz kama mtiro

Hapo msimamo friends rangers ya kina credo mwaipopo ni ya ngapi?
 
Deo Corleone

Maveterani wetu wametisha, Mbuna bado anarusha mipira yake mirefu? Jamaa wangu alinitumia picha kutoka Uwanja wa Majimaji, kitu kama Premier LEague vile...
 
Last edited by a moderator:
Maveterani wetu wametisha, Mbuna bado anarusha mipira yake mirefu? Jamaa wangu alinitumia picha kutoka Uwanja wa Majimaji, kitu kama Premier LEague vile...


Twite anasubiri!!

Goli la pili nilikua hivi:

Omary kapilima alitoa mpira nje,mbuna akarusha hadi golini,beki akauokoa ukamfikia mbuna, akamimina tena golini,mfungaji akaruka free header kitu nyamvuni!!

Kudra ndo captain anakichafua kinoma!!

Halafu huyu nombo oddo toka nipo primary namsikia tu,juzi kafuta one on one kama 2 hivi

Wanalizombe tuko vizuri
 
Deo Corleone

Nahofia hujuma, fanyeni mrudi aisee... Support ya washabiki niliyoona kwenye ile foto ilinibariki sana!
 
Last edited by a moderator:
Jamal malinzi ni aibu sana Tff yako kukosa mtu wa ku-update taarifa za daraja la kwanza on time... Kama vp tupeni kazi hiyo watu wa mpira muone impact... Hivi kuna ugumu gani wakati msimamizi wa kituo hutuma matokeo mda huohuo game inapoisha??? Afisa habari ana kazi gani???
 
Ligi Daraja la Kwanza
FT: African Sports 1-1 Friends Rangers
FT: Polisi Dar 1-1 African Lyon

Kwa mujibu wa TFF
 
Back
Top Bottom