kundi A maji maji na timu nyingine..
kundi B mwadui fc na toto africans ndio zitakazoingia premier
wadau vipi naona kimya kimezidi baada ya Mwadui fc kutoa dozi tu..
Toto hajamlamba mtu tena?
kampiga green worious 3
wadau vipi naona kimya kimezidi baada ya Mwadui fc kutoa dozi tu..
duuh imekuaje hapo..
Mbona msimamo bado kubadilika.