Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
Game ya juzi jkt kanembwa 0-1 toto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toto Afrika kacheza game 7. Kashnda 5 kafungwa 2 ana point 15.. Nyumbani kacheza game 4 kashnda zote, ugenini kacheza 3 kafungwa 2 na kushnda 1.. Lazma kieleweke mwaka huu. Hapa shija mkina kule emanuel swita pale mbogo
msimamo wa ligi mbona haubadiliki.... mwezi huu uzi fanya update aisee........... lipuli, majimaji,kurugenzi na kimondo zote zilishinda mchezo wa jana
Toto vp bandungu?
hii game ya lini mdau..
hii game ya lini mdau..
mwadui fc iko vizuri..??
inatakiwa huko kuwe na timu zaidi 2 league kuu