Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woyooo!!Wanalizombe wamesawazisha
Woyooo!!
Oddo nombo,mbuna na kudra bado wanakichafua!!
Bring back our maji maji in vpl
Friends 2 majimaji 1 dk 65
never on earth,MCC nafasi tano za juu lazima tukamate
kumbe wewe ni mwana lizombe?
Azam tangu lini imeopata washabiki bwana? Wengi ni hawa hawa wakwetu wanafuata fursa za kulipiwa viingilio na hii kusafirishwa bure...
Nilipoamua kushabikia mpira wa bongo 2009 nilianza na azam fc!!
Nipo hadi Leo!! Sijawahi kulipiwa hata mia na azam!!
Hata yesu akifufuka leo na kuamua kushabikia mpira wa bongo atashabikia azam fc!!
Hivi akilimali anacheo gani pale jangwani
mdau mbona mwadui wana 21 points..
kama table umetoa huku TFF | Tanzania Football Federation iko wrong vibaya
rockcity umepotea mdau
alipigwa 1 bila na timu tutoka tabora