Ligi ianze, naona jirani yangu shabiki wa Simba ameanza kunenepa

Ligi ianze namuona jirani yangu shabiki wa simba amenenepa sana[emoji22][emoji22]
Huyu rafiki yangu mwingine ni kolo kindaki ndaki ameanza kuota na kitambi tangu ligi ilivyoisha
Nimeona Injinia amesema malengo ya utopolo msimu huu ni kufika makundi 😁
Injinia bhana, anajua kuwapanga watopolo 🀣🀣🀣
 
Mnatamani sana tufanane. Utopolo lini mtaweka chura kwenye nembo yenu?
 
Sidhani kama ni hili la simba, wewe kiuhalisia ni MCHAWI, na ndio tabia yako hupendi maendeleo ama chochote kizuri kifanywe na jirani zako, huna kazi tukusaidie ajira ? Si kwa uchawi huu.

mama ako bora angekutupa tu chooni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…