Ligi ianze, naona jirani yangu shabiki wa Simba ameanza kunenepa

Ligi ianze, naona jirani yangu shabiki wa Simba ameanza kunenepa

kama walivyotoboa mwaka jana [emoji16][emoji16][emoji16]
Aache ujanja, asitupange, tuna akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaaah mkuu....si uliona mwaka Jana tuli target kuishia makundi....but robo fainali walifika
 
Yaaah mkuu....si uliona mwaka Jana tuli target kuishia makundi....but robo fainali walifika
Sasa kwa nini target isibaki mlipoishia au hata kuongezeka kidogo? Ndio maana nasema Injinia anatupanga, yaani hataki lawama 🤣🤣🤣
 
Sidhani kama ni hili la simba, wewe kiuhalisia ni MCHAWI, na ndio tabia yako hupendi maendeleo ama chochote kizuri kifanywe na jirani zako, huna kazi tukusaidie ajira ? Si kwa uchawi huu.

mama ako bora angekutupa tu chooni.
Hapana mkuu....but huwa Napenda watu wanachangamka kupitia stress
 
Sidhani kama ni hili la simba, wewe kiuhalisia ni MCHAWI, na ndio tabia yako hupendi maendeleo ama chochote kizuri kifanywe na jirani zako, huna kazi tukusaidie ajira ? Si kwa uchawi huu.

mama ako bora angekutupa tu chooni.
Haka ni ka chawa ka GSM..ila kanaipenda Simba bila kujua...mhhh ukute ni li baba mi nasema haka... Labani og hivi ww ni mubaba au mukaka..
 
IMG-20240715-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom