Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata wachezaji wa kigeni ni wengi VPLBila shaka ni VPL.
Kwanini nasema VPL. Nimejaribu kupima mafanikio madogo ambayo vilabu kwenye hizi ligi zimefikia.
1. Vpl imeto vilabu vinavyoshiri na kufikambali mara nyingi kwenye michuani ya bara cafcl na cafcc.
2. Watazamajina wafuatiliaji. VPL inataamwa na kufuatiliwa na watu wengi zaidi kuliko ligi nyinginezo, zingatia wastani wa match attendance
3. Mishahara ya wachezaji. VPL inaongoza kulipa pesa ndefu sana wachezaji ukilinganisha vilabu vya ligi mbalimbali za afrika mashariki. (azam,yanga,simba,singida utd.............mtibwa,kagera,mbeya city)
4. VPL ina udhamini mnono kuliko ligi yeyote hapa mashariki.
linalalamikiwa na wengi, dawa ya hili ni nini? Malinzi alijaribu kuwafungia Karia akawafungulia waliofungiwa kwa kuboronga.Bila shaka vpl imejaribu kuufanya mpira kuwa ni biashara yenye mafanikio kwa wachezaji ila ina marefa wabovu kuliko ligi zote Afrika mashariki.