Jumamosi, 07.02.2015
Polisi Morogoro 2 - 2 Azam FC ( Jamhuri )
Ndanda 1 - 1 Stand United ( Nangwanda Sijaona)
Kagera Sugar 1 - 0 Mgambo JKT ( Kamabarge )
Tanzania Prisons 1 - 1 Ruvu Shooting ( Sokoine)
Ruvu JKT 1 - 1 Mbeya City ( Chamazi)
Coastal Union 0 - 0 Simba SC (Mkwakwani)
Jumapili, 08.02.2015
Young Africans 2 - 0 Mtibwa Sugar ( National Stadium)
Mechi za live Leo?
Pamoja na kutaka kavugoal afunge ili amshushe kandambili pale juu,napenda pia coastal ashinde.
Ndanda ashinde( huyu wa kusini mwenzetu)
MBEYA city ashinde( hastahili kuwa kule chino kutokana na udhamini waliokuwa nao)
Matimu ya jeshi yafungwe tu yashuke daraja
Kwa mujibu wa Azam Tv mechi tatu zitarushwa leo,Mechi za live Leo?
Pamoja na kutaka kavugoal afunge ili amshushe kandambili pale juu,napenda pia coastal ashinde.
Ndanda ashinde( huyu wa kusini mwenzetu)
MBEYA city ashinde( hastahili kuwa kule chino kutokana na udhamini waliokuwa nao)
Matimu ya jeshi yafungwe tu yashuke daraja
JKT Ruvu v Mbeya City
Azam Complex
1600 Hrs
Channel 100
Polisi Morogoro v Azam FC
Jamhuri
1600 Hrs
Azam One
Coastal Union v Simba FC
Mkwakwani
1600
Azam Two
Yanga mngetumia mda huu kujiandaa kiakili dhidi ya mnyama hiyo tar 17,anzeni kumeza paracetalmol mapemasimba anakufa 3 dhidi ya coastal union anaebisha aweke dau
Ndio wamehama mkuu Trimmer,kwanini Kagera Sugar wamehama CCM Kirumba..?
Youngsharo&bantulady mambo ya kuitana mikia sio ukuuu huo,btw mnakalia leo na kesho mtibwa watawafanya
Tatizo lako unamfuata yule mnywa viroba Komeo lachuma, yule ni kikaragosi changu cha kunichekesha kila napotaka kucheka. Wewe jichagulie mwenyewe, leo acha tunyamaze mpira dk 90. Mikia italala tu
kwanini Kagera Sugar wamehama CCM Kirumba..?
mkuu Naomba niulize maana sielewi ama Ni kumbukumbu zangu ndo zimekaa vibaya hivi mzunguko wa kwanza yanga na mbeya city zilicheza lini na je simba na mgambo?....maana hiyo ratiba inaonesha kuanza kwa mechi Za mzunguko wa pili Naomba kueleweshwa
Simba leo ushindi lazima hakuna mjadala mbio za ubingwa zipo pale pale
Dk.90+4 Coastal 2-1 Simba
Yanga mngetumia mda huu kujiandaa kiakili dhidi ya mnyama hiyo tar 17,anzeni kumeza paracetalmol mapema
Mkuu NGANU, Hunizidi mimi ninavyoichukia mikia fc!! wapigwe tu leo, Coast timu funga hiyo mikia goal 2-0.Leo simba akishinda sijui na mimi nitalala wima kwani sipendi kabisa mikia ishinde,
ha ha ha ha samahani sipendi simba ishinde.