Ligi Kuu Bara, 7 & 8 Februari 2015

Ligi Kuu Bara, 7 & 8 Februari 2015

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
10313494_488289371310356_6837599844136100704_n.jpg
Jumamosi, 07.02.2015
Polisi Morogoro 2 - 2 Azam FC ( Jamhuri )
Ndanda 1 - 1 Stand United ( Nangwanda Sijaona)
Kagera Sugar 1 - 0 Mgambo JKT ( Kamabarge )
Tanzania Prisons 1 - 1 Ruvu Shooting ( Sokoine)
Ruvu JKT 1 - 1 Mbeya City ( Chamazi)
Coastal Union 0 - 0 Simba SC (Mkwakwani)

Jumapili, 08.02.2015
Young Africans 2 - 0 Mtibwa Sugar ( National Stadium)

Mechi za live Leo?

Pamoja na kutaka kavugoal afunge ili amshushe kandambili pale juu,napenda pia coastal ashinde.

Ndanda ashinde( huyu wa kusini mwenzetu)

MBEYA city ashinde( hastahili kuwa kule chino kutokana na udhamini waliokuwa nao)

Matimu ya jeshi yafungwe tu yashuke daraja
 
mkuu Naomba niulize maana sielewi ama Ni kumbukumbu zangu ndo zimekaa vibaya hivi mzunguko wa kwanza yanga na mbeya city zilicheza lini na je simba na mgambo?....maana hiyo ratiba inaonesha kuanza kwa mechi Za mzunguko wa pili Naomba kueleweshwa
 
Kwa mujibu wa Azam Tv mechi tatu zitarushwa leo,
JKT Ruvu v Mbeya City
Azam Complex
1600 Hrs
Channel 100
Polisi Morogoro v Azam FC
Jamhuri
1600 Hrs
Azam One
Coastal Union v Simba FC
Mkwakwani
1600
Azam Two
 
Simba leo ushindi lazima hakuna mjadala mbio za ubingwa zipo pale pale
 
simba anakufa 3 dhidi ya coastal union anaebisha aweke dau
 
kwanini Kagera Sugar wamehama CCM Kirumba..?
 
Youngsharo&bantulady mambo ya kuitana mikia sio ukuuu huo,btw mnakalia leo na kesho mtibwa watawafanya
 
kwanini Kagera Sugar wamehama CCM Kirumba..?
Ndio wamehama mkuu Trimmer,
Eti wanadai pale ccm kirumba walikuwa wanachawiwa na Toto africa na ndio maana wakapoteza game zao tatu mfululizo. Ila ajabu zaidi hata tff na wao wamekubaliana na hoja hizi za kagera suger. Ama kweli Jamal Malinzi ni bure tu pale tff.
 
Youngsharo&bantulady mambo ya kuitana mikia sio ukuuu huo,btw mnakalia leo na kesho mtibwa watawafanya

Tatizo lako unamfuata yule mnywa viroba Komeo lachuma, yule ni kikaragosi changu cha kunichekesha kila napotaka kucheka. Wewe jichagulie mwenyewe, leo acha tunyamaze mpira dk 90. Mikia italala tu
 
Tatizo lako unamfuata yule mnywa viroba Komeo lachuma, yule ni kikaragosi changu cha kunichekesha kila napotaka kucheka. Wewe jichagulie mwenyewe, leo acha tunyamaze mpira dk 90. Mikia italala tu

Mkuu Komeo la Chuma unamsikia huyu manzi,tumtafitie adhabu leo mapema kabisa.yupo hot
 
mkuu Naomba niulize maana sielewi ama Ni kumbukumbu zangu ndo zimekaa vibaya hivi mzunguko wa kwanza yanga na mbeya city zilicheza lini na je simba na mgambo?....maana hiyo ratiba inaonesha kuanza kwa mechi Za mzunguko wa pili Naomba kueleweshwa

Bado Hazijachezwa Ni Mechi Za Viporo Wanadai Zitapangwa Kati Ya Wiki.
 
Leo simba akishinda sijui na mimi nitalala wima kwani sipendi kabisa mikia ishinde,
ha ha ha ha samahani sipendi simba ishinde.
 
Bantu lady kweli akutukanaye hakuchagulii tusi. haya mi sina maneno mama. enzi zile sisi tunakua ilikuwa nadra sana kumsikia mtoto wa kike akizungumza maneno haya.lakini kwa sasa imekuwa kawaida. hamna shida mi najua sisi tunakutana wapi. leo tarehe ngap ya mwezi? tuambiane mapema mama..... mi ni nakucheckiiiiiiiiiiiiiiiii. nmekaa pembeni tu hapa huku nakuna ndevu zangu. mtaani wamezoea kuniita beberu. leo najua bantu lady na mayanga menzake hawana amani kabisa.maana wanaona kama dan serunkuma ana hasira sana na nyavu huku okwi akishadadia sana jambo hilo. anyway.... IPO SIKU SIMBA ITAKUWA NDO ITAKUWA TEAM YA TAIFA. hapo mtalazimika tu kuishangilia .na ndo maana tunaibua vipaji kila mwaka. siku hizo zikifika bantu lady utashuhudia. LEO SITAKI UPATE SHIDA UTAANGALIA MPIRA HUKU NMEKUPAKATA.
 
Leo simba akishinda sijui na mimi nitalala wima kwani sipendi kabisa mikia ishinde,
ha ha ha ha samahani sipendi simba ishinde.
Mkuu NGANU, Hunizidi mimi ninavyoichukia mikia fc!! wapigwe tu leo, Coast timu funga hiyo mikia goal 2-0.
 
Back
Top Bottom