Ligi Kuu Bara, 7 & 8 Februari 2015

NGANU sisi wengne tupo mbali na tv tusikilize radio gan pamoja na kupata updates toka kwako na wengne. nipo na bantu lady hapa hatak hta kunyanyuka.
 
Mkuu Komeo la chuma TBC TAIFA wako hewani,
ila naomba mwachie huyo dada.
 
Last edited by a moderator:
Simba wanacheza kiuoga uoga...
 
Hii mechi ngumu, inabidi kocha awape mbinu mpya hawa wachezaji.
 
Mkuu Komeo la chuma TBC TAIFA wako hewani,
ila naomba mwachie huyo dada.
 
Last edited by a moderator:
NGANU huyu naye anapenda hali hiii.... nmemwambia basi aaamke hataki. basi ndo hivyo nmeendelea kumpaka huku tunataka kusikiliza mpira hiyo TBC INASHIKA channel gan kwnye FM? frequency zake ni ngapi?
 
timu za Tanzania yaani miaka nenda rudi mpira wao ni butua butua tu...
 
timu za Tanzania yaani miaka nenda rudi mpira wao ni butua butua tu...

Ndo wameelekezwa hivyo mkuu Watu8 na mwalimu wao,
na wasifuata maelekezo wanasema wamecheza chini ya kiwango.
 
Last edited by a moderator:
Mashabiki wa mikia kitu kinagonga kinarudi ndani chezea wagosi wa kazi wewe.

Kuna mashabiki wa mikia fc nimekaa nao naangalia mpira wanasema bora mpira ungeisha hata sasa ili hata sare wapate, manake huu mziki wa wagosi wa kaya si mchezo.
 
mkuu Komeo hiyo redio haipatika fm itafute ile ilikuwa inaitwa enzi zile RTD.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mashabiki wa mikia fc nimekaa nao naangalia mpira wanasema bora mpira ungeisha hata sasa ili hata sare wapate, manake huu mziki wa wagosi wa kaya si mchezo.

Mara ya mwisho Simba kupata ushindi hapo Mkwakwani ilikuwa mwaka 2011....

Leo lazima wacheze kwa adabu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…