Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi jezi mbona zinafanana!
Dakika ya 20 coast 0-0 simba
Mashabiki wa mikia kitu kinagonga kinarudi ndani chezea wagosi wa kazi wewe.
nganu huyu naye anapenda hali hiii.... Nmemwambia basi aaamke hataki. Basi ndo hivyo nmeendelea kumpaka huku tunataka kusikiliza mpira hiyo tbc inashika channel gan kwnye fm? Frequency zake ni ngapi?
Kuna mashabiki wa mikia fc nimekaa nao naangalia mpira wanasema bora mpira ungeisha hata sasa ili hata sare wapate, manake huu mziki wa wagosi wa kaya si mchezo.