Ligi Kuu Bara, 7 & 8 Februari 2015

Ligi Kuu Bara, 7 & 8 Februari 2015

ndo watangazaji wa AZAM walivyo wazoee tu. mi huwa natizama tu siwasikilizi ni wa hovyo sana. hawai hta kutangaza mipira ya ndondo.huwa naweka mute.
 
Mchezaji wa Costo yupo chini anaugulia maumivu...ngoja nimwangalie vizuri ni nani huyu
 
Serunkumaaa...kona kwenda lango la Costa,Banda anamgasi-gasi Okwi hapa...konaaa goli kiki
 
Coastal team,,,,,,wafanye vizuri hao mikia washike adabu
 
Serunkumaaa...kona kwenda lango la Costa,Banda anamgasi-gasi Okwi hapa...konaaa goli kiki

Kumbe mkuu OKW BOBAN SUNZU upo!!! afadhali wewe umeamua kujitoa muhanga, mikia mingine hatuioni humu.
 
Singano Mesi anapasha pasha kuingia.Shabalala anaumia naona anavuja damu hapa
 
Back
Top Bottom