Ligi Kuu Bara, 7 & 8 Februari 2015

Ligi Kuu Bara, 7 & 8 Februari 2015

Obina yuko chini pale..dokta anaingia...machela inaitwa hapa..obina anatoka hapa..anaingia Mahundi
 
Huyu Bryton Obina mbona anachelewesha ushindi kwa wagosi wa kaya!!
 
huyu youngsharo kweli ni young anaulizia issue za sisi oldsharos? huyu bantu lady mwache nimempakata hapa anasikiliza tu mpira pamoja nami kwa style yake. mi na yeye tunajuana vizuri. na unamwulizia wa nini? acha kwa raha zetu sisi tunasikiliza mpira.
OKW BOBAN SUNZU nashukuru kwa kumsaidia huyu bwana mdogo anaulizia issue za watu maswali ya ajabu ajabu.
 
Kumbe mkuu OKW BOBAN SUNZU upo!!! afadhali wewe umeamua kujitoa muhanga, mikia mingine hatuioni humu.

Lunyasi hawajiamini, wamekula kona.Sasa ngoja wapate goli uone watavyokuja kasi hapa.Muda huu wamenyuti kwanza wanasikilizia.
 
Kocha wa Simba kiti chake cha moto...

Muda wote kasimama...
 
Wapenz wa arsenal totenham kaongeza bao la pil polen sana man u walee
 
youngsharo unataka kuja kuongea na dada yako nini? haya njoo... utatukuta tupo home tu. maswali yako yote mtajibizana.ila yeye anasema hata ukija hainuki hapa nlipompakata. so utaongea naye tu hapa hapa...
 
Huyo maguli si wamtoe ili angalau mikia mpate kamoja japo kataniumiza.
 
OKW BOBAN SUNZU huyu young sharo ananijua kweli au ananisikia tu kwa dada yake? hajui mimi ni simba dume.... ? bantu lady hajamjibu yupo busy kweli hapa.
 
Back
Top Bottom