unategemea nn unapomuonesha mkeo hadharani kwa marijani km ccNdugu yangu unachagua njia mbaya sana ya kufa. Unataka ufe kwa kumtaka mke wa mtu?kwa nini usinywe sumu tu.
Huyu kaenda shuhudia mauaji laivu.Wapi sembo
Mauti ni matokeo tu yakitokea ujue muda wangu umeshafikanaona mauti yanakuita ndugu! karibu mtaani kwang nikuelekeze njia ya akhera..lol