Ligi kuu Bara: Azam FC Vs Simba SC

Ligi kuu Bara: Azam FC Vs Simba SC

Huyu Bukungu Janvier Ni Fundi kuliko Watu tunavyodhani na anatumia akili 95% na nguvu 5% tu na atatusaidia mno Simba Sports Club. Kitu pekee ambacho nakipongeza safari hii Kamati ya Usajili ya Simba Sports Club chini ya Kapteni wa zamani wa JWTZ Ndugu Zacharia Hanspoppe kweli imefanya kazi ya maana na wanastahili pongezi kwa kweli. Simba ya sasa ina kila utamu na raha katika kila Idara na nashawishika kusema kuwa msimu huu ama Ubingwa au nafasi ya pili ni halali yetu ila kama hiki Kikosi na hawa Makocha tutakuwa nao tena kwa Msimu ujao kuna hatari Simba ikawa tamu kama Barcelona. Mungu zidi kuibariki Simba Sports Club yetu na sisi Mashabiki tuendelee kushikamana na kuwa na huu huu Umoja. Amen / Inshaallah.
 
Tar 02/10/2016 uendelee na msimamo huu huu
 
ndio, mechi ya azamu na African lyon zilikuwa za away(mikoani)

Una swali lingine??
Najua ni away...

Ninaposema mikoani simaanishi uwanja wa Uhuru..Namaanisha uwanja kama Sokoine au Kambarage..
 
Back
Top Bottom