Kwann mkuu!!!!Inaonekana ndio umeanza kufuatilia hii ligi msimu huu
Kila la kheri.nipo tayari kwa mkopo watford...hope watanifurahisha
Eti unasema?jana nimetandikwa na liver, leo angalau nipoze machungu kwa kumtandika simba...viva azam fc
Kweli asee ni galasa yuleIla uyu blangnon tumeliwa jamani hamna kitu
Mnaumia 2 - 1, amini usiamini
Lambalamba 2- Wamatopeni/Mbumbumbu fc 1.
Huyu Bukungu Janvier Ni Fundi kuliko Watu tunavyodhani na anatumia akili 95% na nguvu 5% tu na atatusaidia mno Simba Sports Club. Kitu pekee ambacho nakipongeza safari hii Kamati ya Usajili ya Simba Sports Club chini ya Kapteni wa zamani wa JWTZ Ndugu Zacharia Hanspoppe kweli imefanya kazi ya maana na wanastahili pongezi kwa kweli. Simba ya sasa ina kila utamu na raha katika kila Idara na nashawishika kusema kuwa msimu huu ama Ubingwa au nafasi ya pili ni halali yetu ila kama hiki Kikosi na hawa Makocha tutakuwa nao tena kwa Msimu ujao kuna hatari Simba ikawa tamu kama Barcelona. Mungu zidi kuibariki Simba Sports Club yetu na sisi Mashabiki tuendelee kushikamana na kuwa na huu huu Umoja. Amen / Inshaallah.
Libeva Yanga ndio kazoea viwanja vya ulaya hivi vya Tanzania Na afrika vinamsumbua sana
ndio, mechi ya azamu na African lyon zilikuwa za away(mikoani)Hivi Simba wameshacheza nje ya Dar?...
Thanks Watford...si vema kutukana mamba kabla hujavuka mto!Pole kwa mara nyingine.
Na kesho tunakukaribisha ushangilie WATFORD.
Najua ni away...ndio, mechi ya azamu na African lyon zilikuwa za away(mikoani)
Una swali lingine??
Yah wamewahiNajua ni away...
Ninaposema mikoani simaanishi uwanja wa Uhuru..Namaanisha uwanja kama Sokoine au Kambarage..
tumeumia mkuu cheza mbali na mnyama kimoja tu azam chaliiiiiiiiMnaumia 2 - 1, amini usiamini