OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mwigulu usimsumbue kocha wetu Puljin muache awatie adabu Mitulinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adraw Mara ya ngap mkuu?Leo Yanga akidroo ndio kwaheri.
1 - 1mpaka sasa matokeo ypoje
Hana pumziNi kwa nini Ajibu huwa hachezeshwi dakika zote 90, tangu alipokuwa Simba hadi sasa Yanga?
Itapendeza zaidiMnaonaje matokea yakibaki hivi hivi..!
Kama ni hivyo 29 April si mauaji ya kutatanishaItapendeza zaidi
Ni kwa nini Ajibu huwa hachezeshwi dakika zote 90, tangu alipokuwa Simba hadi sasa Yanga?
sareHana pumzi
Mkuu uache masihara, kuna watu wanapotezaga maisha kwa mchezo huu huu wa sokaYanga wanaongeza hapa
Matokeo VP mkuu !??Naam mpira umekwisha.. Washindwa kufurukuta