Ligi kuu bara: Mbeya city Vs Yanga (0-2)

Ligi kuu bara: Mbeya city Vs Yanga (0-2)

Mabingwa wa kihistoria Yanga wanatoka kifua mbele kwa magoli 2 kwa sifuri dhidi ya Mbeya city..
 
MTANI VP HAPIGANII HATA NAFAS YA PILI KISHAKATA TAMAA SO SAD.
 
Lile goli la Tambwe angefunga Kwio humu jukwaani msingetosha.
Lile goli linafaa kuwa goli la Msimu.
 
Hatari hatari, raha raha yaani Yanga rahaaaaa...
Mikia aka paka, wametuachia jukwaa. Kiukweli naanza kuwaonea huruma mikia. Haiwezekani Yanga tukigusa ushindi dah... 🙄😎😛
 
Mitoto mingine bana shida tupu......mechi ni Mbeya City na Yanga, lakini jitu Simba ....simba.kuna Simba pale inacheza???????!!!!!!!!mnaudhi sana mashabiki vitumbua.Kama Simba mbovu baba ako anayo?????
 
Back
Top Bottom