Ligi Kuu Bara | Mbeya Kwanza FC Vs Simba SC | Uwanja wa Majimaji | Juni 29, 2022

Ligi Kuu Bara | Mbeya Kwanza FC Vs Simba SC | Uwanja wa Majimaji | Juni 29, 2022

Mpole ni Kiboko ya Wadudu wote bonde la Jangwani wanaruka na kutambaa.
Screenshot_20220629-175821~2.jpg
 
Lawama zimeanza kuelekezwa kwa wachezaji.

Huyu Mayele msimu ujao hata goli 9 hafikii. Mpole, Manzoki, Phiri wana kazi maalumu.
Screenshot_20220629-190444~2.jpg
 
Ndo shida ya klabu na washangiliaji wote kumtegemea mtu mmoja. Huoni sisi klabu bora Africa mashariki msimu uliopita tulikua na wafungaji watatu wanaoshindana kwa magoli ndani ya timu moja
 
Ona sasa! Mnashindwa hata kuhonga ili kuifunga timu ambayo haina cha kupoteza! Yaani ilishajishukia daraja kitambo!

Hivi tajiri yenu Moo ana hela za majini, au!!
Mbona mwenzake GSM anatembeza tu bahasha, timu inachukua mpaka ubingwa! Yaani anatembeza bahasha mpaka kwenye timu yenu! Lakini yeye yupo yupo tu.
Hatuhitaji ushindi wa kapuni tunajiandaa na mashindano ya kimataifa
 
Badala ya ya kuizunguzia timu yenu kwenye huu uzi wenu mmebaki kumshangilia Gorge Mpole nyie kweli mbumbu fc as Rage Voice
 
Badala ya ya kuizunguzia timu yenu kwenye huu uzi wenu mmebaki kumshangilia Gorge Mpole nyie kweli mbumbu fc as Rage Voice
timu yetu tuizungumzie mara ngapi,kwani hujui mpole anaenda kuwa mwekundu?
 
kuna mtu katetema mwaka mzima ,style imevuma mpaka kwenye kwaya na bungeni ila kiatu hapati ,dunia haiko fair
Mungu ametuepushia na mengi sana, unadhani kama angechukua kiatu cha ufungaji bora hali ingekuwaje

Angalia tu ubingwa hizo vurugu, na ng' ombe wa six pack juu[emoji16]
 
Mungu ametuepushia na mengi sana, unadhani kama angechukua kiatu cha ufungaji bora hali ingekuwaje

Angalia tu ubingwa hizo vurugu, na ng' ombe juu [emoji16]
ligi ikianza lazima morali ya kufunga ishuke , maana atakuwa anawaza natetemaje wakati sijawa mfungaji bora
 
ligi ikianza lazima morali ya kufunga ishuke , maana atakuwa anawaza natetemaje wakati sijawa mfungaji bora
Huyu msimu ujao hawezi kufua dafu, George Mpole amemfunika sasa asubiri kuletewa mziki na Simba SC

Si ameanza lawama kwa wachezaji kutompa ushirikiano kwenye mchezo wa leo.!
 
Kuna watu watapiga bomu mochwari na kujisifu wameua!
Tumeona leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa..Watu wamepiga Bomu Mochwari

Lakini hawakuwahi kutetema kabisa yaani, kilichobaki ni kutetema kwenye misitu ya Kongo.
 
kuna mtu katetema mwaka mzima ,style imevuma mpaka kwenye kwaya na bungeni ila kiatu hapati ,dunia haiko fair
Kunyanyua tu makwapa, ni mafanikio makubwa sana kwake. Hayo mambo ya kutetema yalikuwa ni chagizo tu la kuisaidia timu yake kuchukua ubingwa wa ligi kuu msimu huu wa 2021/2022.
 
Mungu ametuepushia na mengi sana, unadhani kama angechukua kiatu cha ufungaji bora hali ingekuwaje

Angalia tu ubingwa hizo vurugu, na ng' ombe wa six pack juu[emoji16]
Ahueni alitetema kwenye Ngao ya Jamii! Kinyume na hapo, naamini mngechonga sana ngenga.
 
Back
Top Bottom