Wanakuonea gerre mwayaLawama zimeanza kuelekezwa kwa wachezaji.
Huyu Mayele msimu ujao hata goli 9 hafikii. Mpole, Manzoki, Phiri wana kazi maalumu.View attachment 2276618
Hatuhitaji ushindi wa kapuni tunajiandaa na mashindano ya kimataifaOna sasa! Mnashindwa hata kuhonga ili kuifunga timu ambayo haina cha kupoteza! Yaani ilishajishukia daraja kitambo!
Hivi tajiri yenu Moo ana hela za majini, au!!
Mbona mwenzake GSM anatembeza tu bahasha, timu inachukua mpaka ubingwa! Yaani anatembeza bahasha mpaka kwenye timu yenu! Lakini yeye yupo yupo tu.
unatupangia?Badala ya ya kuizunguzia timu yenu kwenye huu uzi wenu mmebaki kumshangilia Gorge Mpole nyie kweli mbumbu fc as Rage Voice
Na Akifika Je??, Nyie Msajilini Hata Lewandoski Lakini Tukikutana Kichapo Kipo Pale Pale. [emoji28]Lawama zimeanza kuelekezwa kwa wachezaji.
Huyu Mayele msimu ujao hata goli 9 hafikii. Mpole, Manzoki, Phiri wana kazi maalumu.View attachment 2276618
kuna mtu katetema mwaka mzima ,style imevuma mpaka kwenye kwaya na bungeni ila kiatu hapati ,dunia haiko fair
timu yetu tuizungumzie mara ngapi,kwani hujui mpole anaenda kuwa mwekundu?Badala ya ya kuizunguzia timu yenu kwenye huu uzi wenu mmebaki kumshangilia Gorge Mpole nyie kweli mbumbu fc as Rage Voice
as long hamvunji rekodi ya kuwapiga 5 si mbaya maana tunajua malengo yenu ni kufunga simbaNa Akifika Je??, Nyie Msajilini Hata Lewandoski Lakini Tukikutana Kichapo Kipo Pale Pale. [emoji28]
Mungu ametuepushia na mengi sana, unadhani kama angechukua kiatu cha ufungaji bora hali ingekuwajekuna mtu katetema mwaka mzima ,style imevuma mpaka kwenye kwaya na bungeni ila kiatu hapati ,dunia haiko fair
ligi ikianza lazima morali ya kufunga ishuke , maana atakuwa anawaza natetemaje wakati sijawa mfungaji boraMungu ametuepushia na mengi sana, unadhani kama angechukua kiatu cha ufungaji bora hali ingekuwaje
Angalia tu ubingwa hizo vurugu, na ng' ombe juu [emoji16]
Huyu msimu ujao hawezi kufua dafu, George Mpole amemfunika sasa asubiri kuletewa mziki na Simba SCligi ikianza lazima morali ya kufunga ishuke , maana atakuwa anawaza natetemaje wakati sijawa mfungaji bora
Kunyanyua tu makwapa, ni mafanikio makubwa sana kwake. Hayo mambo ya kutetema yalikuwa ni chagizo tu la kuisaidia timu yake kuchukua ubingwa wa ligi kuu msimu huu wa 2021/2022.kuna mtu katetema mwaka mzima ,style imevuma mpaka kwenye kwaya na bungeni ila kiatu hapati ,dunia haiko fair
Ahueni alitetema kwenye Ngao ya Jamii! Kinyume na hapo, naamini mngechonga sana ngenga.Mungu ametuepushia na mengi sana, unadhani kama angechukua kiatu cha ufungaji bora hali ingekuwaje
Angalia tu ubingwa hizo vurugu, na ng' ombe wa six pack juu[emoji16]
leo hii? au leo keshoLeo Kibu anapiga hat trick yake ya kwanza