Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Mimi Sijui Hilo, ila Nachojua Ni Tukikutana Hatuna Cha Kupoteza Wala Mjadala Na Nyie [emoji28]as long hamvunji rekodi ya kuwapiga 5 si mbaya maana tunajua malengo yenu ni kufunga simba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jiji limetulia, nilikua nakutafuta, kumbe uko hapa. LolAhueni alitetema kwenye Ngao ya Jamii! Kinyume na hapo, naamini mngechonga sana ngenga.
Sasa Wee unaumia nn Mpole kujadiliwa na Simba? Si na nyie mkampe ushirikiano mayele wenu, analalama hukoooo.Badala ya ya kuizunguzia timu yenu kwenye huu uzi wenu mmebaki kumshangilia Gorge Mpole nyie kweli mbumbu fc as Rage Voice
Akaendelee kukata viuno vyake, na alivyo na masifa sasa, weraaaaaah, dreads akaweke yebo yebo dada Fistonia.Lawama zimeanza kuelekezwa kwa wachezaji.
Huyu Mayele msimu ujao hata goli 9 hafikii. Mpole, Manzoki, Phiri wana kazi maalumu.View attachment 2276618
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mayale kabakisha msimu mmoja arudi congo
Et fistonia[emoji23][emoji23][emoji23]Akaendelee kukata viuno vyake, na alivyo na masifa sasa, weraaaaaah, dreads akaweke yebo yebo dada Fistonia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shangaziiii nna raha leo mwenziooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Et fistonia[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah siwezi kuargue na mtu wa kariba hii ni kujivunjia heshima, endelea na mipasho yakoSasa Wee unaumia nn Mpole kujadiliwa na Simba? Si na nyie mkampe ushirikiano mayele wenu, analalama hukoooo.
Ikiuma sana chomoaaa, afu kata taratibu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]