Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Nisamehe mkuu mambo mengi kichwaniHayo Masihara sasa, yaani timu imalize msimu bila kupoteza halafu isichukue ubingwa?
Mimi ninayokumbuka ya Simba kumaliza msimu bila kupoteza ilikuwa ni msimu wa 2009/2010 na ilitangaza ubingwa huku ikiwa imebakiza mechi mbili na hizo mechi mbili haikupoteza. Jumla ilishinda mechi 18 na droo nne.
Labda kama unaweza kunikumbusha huo msimu ambao Simba alimaliza bila kupoteza na hakuchukua ubingwa ilikuwa ni msimu gani?
Namhutumia yeyote yule anaebishana na mbumbumbu,mechi ya mbeya uliiangalia?mwaka jana stendi na mbumbumbu fc uliiangalia?hao marefa nao wafukuzwe?kila mtu aliona mlivyobebwa ndugu yangu.... na nitazidi kushangaa ikiwa bodi ya league ikiwaacha wamuzi wa jana hasa Israel Nkongo bila adhabu yoyote kwa mbeleko waliyoinyesha kwenu jana
Hahaha, pole mkuu.Nisamehe mkuu mambo mengi kichwani
Huyu Nkongo ni jipu ambalo lishaiva siku nyingi sanakila mtu aliona mlivyobebwa ndugu yangu.... na nitazidi kushangaa ikiwa bodi ya league ikiwaacha wamuzi wa jana hasa Israel Nkongo bila adhabu yoyote kwa mbeleko waliyoinyesha kwenu jana