Ligi Kuu Bara Oktoba 16 2016: Yanga SC 0, Azam FC 0

Ligi Kuu Bara Oktoba 16 2016: Yanga SC 0, Azam FC 0

Hayo Masihara sasa, yaani timu imalize msimu bila kupoteza halafu isichukue ubingwa?

Mimi ninayokumbuka ya Simba kumaliza msimu bila kupoteza ilikuwa ni msimu wa 2009/2010 na ilitangaza ubingwa huku ikiwa imebakiza mechi mbili na hizo mechi mbili haikupoteza. Jumla ilishinda mechi 18 na droo nne.

Labda kama unaweza kunikumbusha huo msimu ambao Simba alimaliza bila kupoteza na hakuchukua ubingwa ilikuwa ni msimu gani?
Nisamehe mkuu mambo mengi kichwani
 
kila mtu aliona mlivyobebwa ndugu yangu.... na nitazidi kushangaa ikiwa bodi ya league ikiwaacha wamuzi wa jana hasa Israel Nkongo bila adhabu yoyote kwa mbeleko waliyoinyesha kwenu jana
Namhutumia yeyote yule anaebishana na mbumbumbu,mechi ya mbeya uliiangalia?mwaka jana stendi na mbumbumbu fc uliiangalia?hao marefa nao wafukuzwe?
 
kila mtu aliona mlivyobebwa ndugu yangu.... na nitazidi kushangaa ikiwa bodi ya league ikiwaacha wamuzi wa jana hasa Israel Nkongo bila adhabu yoyote kwa mbeleko waliyoinyesha kwenu jana
Huyu Nkongo ni jipu ambalo lishaiva siku nyingi sana
 
Back
Top Bottom