Ligi Kuu Bara Oktoba 16 2016: Yanga SC 0, Azam FC 0

Kweli mikia fc mmeibuka mlikuwa kimyaaaa
 
mkuu ngoja mkutane na mbao
 
Wadau hapa nakaribisha kusaidia hii team ya azam kuwapa ushauri, maoni na kutoa duku duku. Ni hali ambayo imesababisha mashabiki wake warud team zao za zaman.

Ni mengi yamekuwa yakisemwa moja wapo ni kuwa mmiliki ameona kiukwel team haina faida. Imechokwa. Anaiendesha kwa hasara. Na hili ni kutokana na ukwel azam haina mashabiki wanaofika hata 1000 ina mashabik wa kukodi. Yaani kutegemea inacheza na nani. Lakin mashabik damu haina.

Mmiliki aliwekeza pesa nying sana lakin ni wazi anapata hasara input kubwa na output ndogo sana. Inaleta hasara. Hili nalo limekuwa ni jambo lenye kuleta shida kwa mmiliki.

IMECHOKWA?
 
Ngoja tukutane tukutane! Simba tumechoka matusi ya rejareja,mwaka huu hatukutani ila tunatafuna kila anayejitokeza mbele yetu.
 
Azam inawezekana kwenye uongozi kuna waswahili wamepenyeza wanapiga hela za bakhressa tuu, na hawajali team. Yule kocha kwa kweli ana warudsha nyuma
 
Tatizo tuna vitu feki kuanzia usukani wa Mwinyi mpaka Juice za Azam!!
 
Mashabiki damu wa Azam FC tupo hao unaosema wa kukodi yawezekana si wa Azam FC, pili Azam FC ina mashabiki zaidi ya 1000.
Tatizo lipo benchi la ufundi wanaleta mazoea badala ya kufanya kazi inayowafanya waende chooni ila soon cha moto watakiona..
 
Mimi ningekuwa mmiliki wa Klabu hii ningeivunjilia mbali
 
Matatizo ya Azam ni haya
1. Kubadilibadili benchi la ufundi! Kulikua na sababu gani kumtoa Stewart Hall?

2. Usajili waliofanya hawakuwa makini mfano sioni mchezaji aliyesajiliwa kama mbadala wa Kipre tchetche?

3. Majeruhi - Pasckal wawa na kapombe ni mhimili mkubwa mno kwenye safu ya ulinzi tangu ligi ianze wao na wengine ni majeruhi

4. Posho wachezaji wanalalamikia posho ambazo zimefutwa

5. Mfumo anaotumia muhispania huyu ni mgumu kueleweka na wachezaji hata lugha ni ngumu pia

Kwa maoni yangu haya ndio yanayowasumbua Azam
 
Mutapigwa tu leo
Kubadilisha bench la ufundi ni kawaida, ili kukodisha ni jambo jipya kwenye Soka! Kutoka kumilikiwa na wanachama mpaka kukodishwa na kumilikiwa na jamaa 2, mmoja 99% mwingine 1 ! Hongereni young Asians ( no longer Young Africans)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…