sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ngoja tukutane tukutane! Simba tumechoka matusi ya rejareja,mwaka huu hatukutani ila tunatafuna kila anayejitokeza mbele yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ngoja tukutane tukutane! Simba tumechoka matusi ya rejareja,mwaka huu hatukutani ila tunatafuna kila anayejitokeza mbele yetu.
ni bora wewe mkuu kuliko aliyekimbia kabsa huku kawahi anzisha uzi SAFI SANA MKUU japo nipo SIMBA ila tabia hizi zinanikeranaitoa Saleh Jembe mkuu
Mkuu.. Mpaka sasa, hizo ni tetesi.. Ila nawish sana.. huyu 'cristiano ronaldo wa uganda' emanuel arnold okwi arejee tena Msimbazi.okwi anakuja?
arejee tu hivi ata sijui walimuuza kwa nnMkuu.. Mpaka sasa, hizo ni tetesi.. Ila nawish sana.. huyu 'cristiano ronaldo wa uganda' emanuel arnold okwi arejee tena Msimbazi.
Amechoka huyo Ronaldo wenu wa UgandaMkuu.. Mpaka sasa, hizo ni tetesi.. Ila nawish sana.. huyu 'cristiano ronaldo wa uganda' emanuel arnold okwi arejee tena Msimbazi.
Bado mapema sanaMechi ya Yanga na Azam,leo itatoa mwanga Ubingwa kwa Simba .Najua Yanga hawapendi kusikia hili lakini ndio ukweli na mkumbuke fedha haiwezi kushindana na akili kubwa!
Kila la heri Mkuu.. Nina imani kubwa sana na "ndugu zetu" Azam.Yanga mpira hamna kabisa,Azam FC tumetakata..HT Yanga FC macho kodo Azam FC 0
mzee wa 5-0Amechoka huyo Ronaldo wenu wa Uganda
Na muelekeo wenyewe upo Simba S.CBado mapema kutabiri Bingwa, ingawa inatoa muelekeo wa ubingwa.
Mkuu.. Simba S.C hatuna tabia ya kumuwekea kauzibe mchezaji wetu.. Lilitokea dili zuri tu, lenye manufaa kwa Okwi.. na kwa Simba.. Hivyo tukaona isiwe kesi.arejee tu hivi ata sijui walimuuza kwa nn
hao toto siwapendi jamani. lkn mwaka huu lazima tuwafunge.simba zee haendi mbali ataishiwa pumzi mda c mrefu...ngoja aanze madudu yake akikutana na toto africa
Kwa Yanga si Azammzee wa 5-0