Wamezoea kubebwaYanga inatafutiwa goli kinguvu
Refa anatunyima penati ya wazi kweli wazee wa Chaneta wamezoea mbeleko ila ni watupuHii faulo ingefanyiwa Yanga ingekuwa red na penati,huyu sijui mvuta bange
Acha uzushi mbona hatuoni refa akimpanua miguu AzamYanga inatafutiwa goli kinguvu
Na sababu ni kua.. Timu zote msimu huu ni mbovuHi mechi timu zote hazijatulia kabisa
Keep on dreaming [emoji23]Too late huu ni mpira wa soka unadunda tunaweza kupigwa hat game tatu raundi ya kwanza ila ya pili mkaanza kufungua madroo yenu cye hatuna shida cuz ndyo wawakilishi wenu wa michezo ya kimataifa mwakani nanyi mnajaribu kupigania kwa miaka mingi ss karibuni
Tatizo sio kuwa timu ni mbovu, yanga bado wako ktk ubora wao na pia azam bado wapo ktk ubora wao, tatizo ni Simba Sc imekuja na kiwango toka sayari nyingine!Na sababu ni kua.. Timu zote msimu huu ni mbovu
Yanga wameongezewa dk4
Haha.. Umenifurahisha sana Mkuu.Tatizo sio kuwa timu ni mbovu, yanga bado wako ktk ubora wao na pia azam bado wapo ktk ubora wao, tatizo ni Simba Sc imekuja na kiwango toka sayari nyingine!
Sisi hatununui mechi ...tunanunua magar ya wachezajkwani mmenunua mechi zote?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ingekuwa Simba ungekwisha sikia Kichuyaaaaaaaaaaa
Safar hii haudundi kama 2010Too late huu ni mpira wa soka unadunda tunaweza kupigwa hat game tatu raundi ya kwanza ila ya pili mkaanza kufungua madroo yenu cye hatuna shida cuz ndyo wawakilishi wenu wa michezo ya kimataifa mwakani nanyi mnajaribu kupigania kwa miaka mingi ss karibuni