Ligi Kuu Bara Oktoba 16 2016: Yanga SC 0, Azam FC 0

Ligi Kuu Bara Oktoba 16 2016: Yanga SC 0, Azam FC 0

Too late huu ni mpira wa soka unadunda tunaweza kupigwa hat game tatu raundi ya kwanza ila ya pili mkaanza kufungua madroo yenu cye hatuna shida cuz ndyo wawakilishi wenu wa michezo ya kimataifa mwakani nanyi mnajaribu kupigania kwa miaka mingi ss karibuni
Keep on dreaming [emoji23]
 
Dk 92, dakika mbili za nyongeza zimekatika, mashabiki kadhaa wameanza kuondoka uwanjani.
Dk 90, mwamuzi wa akiba anaonyesha dakika 4 za nyongeza
 
Tatizo sio kuwa timu ni mbovu, yanga bado wako ktk ubora wao na pia azam bado wapo ktk ubora wao, tatizo ni Simba Sc imekuja na kiwango toka sayari nyingine!
Haha.. Umenifurahisha sana Mkuu.
 
Dk 94, Mchezo unaweza kumalizika muda wowote kuanzia sasa.
Dk 93, Mchezo umekuwa na kasi ya kawaida, inaonekana pande zote zimeshaona utamalizika kwa suluhu.
 
Too late huu ni mpira wa soka unadunda tunaweza kupigwa hat game tatu raundi ya kwanza ila ya pili mkaanza kufungua madroo yenu cye hatuna shida cuz ndyo wawakilishi wenu wa michezo ya kimataifa mwakani nanyi mnajaribu kupigania kwa miaka mingi ss karibuni
Safar hii haudundi kama 2010
 
Back
Top Bottom