Ushindi ni wenu1 Simba KMC sufuri
Unanipa moyo eeeeUshindi ni wenu
Akishinda utayasema hayo pia? Mikia buanaMatola aondolewe mapema
Nilisha sema tangu jana kuwa leo ni yenu huyo km...hana lake leoUnanipa moyo eeee
Wafukuzeni basiNilishasema
Matola
Bocco
Nyoni
Mzamiru
Manura
Banda
Hawawezi isaidia Simba kamwe
Chama yupo hajatoka alikuwa anampa badge ya ucaptain bocco tuU amtoa chama unamuingiza mzamiru? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kocha hili amna kitu bogaz jingine hili.
Yupo fieldHuyu Israh analipwa mshahara au anajitolea?
Chama yumo broKwanini Kamtoa Chama Na Okrah?
Naendelea kukaziaKila la kheri KMC