Ligi Kuu Bara: Simba 2-2 KMC FC - Uwanja wa Mkapa, Sept 07 2022

Ligi Kuu Bara: Simba 2-2 KMC FC - Uwanja wa Mkapa, Sept 07 2022

Hata kama ikitokea tukashinda ila tusijisahulaulishe na huu utumbo uliochezwa hapa na hiki kikosi cha leo
 
Simba inahangaika kupotisha mashambulizi katikati ya uwanja semeu ambayo wamekuwa wakifeli kwa muda wote
 
Trust Me simba Haichezi Hivi Kwasababu Jmosi Ana Mechi Malawi. Anacheza Hivi kwasababu Ya Wachezaji alio Nao… hatutengenezi Movie za Magoli, Chances zote Zimekuja Kama Bahati na sio Za Kutengenezwa.

Tumeshiriki Michuano Ya Kimata mara nyingi tuuu tukiwa na Game Ngumuuu zaidi ya Big Bullets Lakini Hatujawahi cheza hivi.

Huoni Radha Ya Kuangalia ule Mpira wa Simba
Na wamekipata walichokua wanakitafuta
 
Back
Top Bottom