Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Jembe lenu
Natafuta kuisambaratisha Kambi ya Fisi iliyojaa mafisiUnatafuta nini kwa huu uzi we Uto?
Azam tutapiga simba 5Piga hizo kolo.. wanadhani mwaka huu watapita kwa mbeleko..
Jana tulivyotoa sare walituona kama mataira vile.. na hapo bado wakikutana na Azam watakula mkono
Hii timu ya kipumbavu sana....maneno mengi huyu babra na ponjoro wake wameua timu...Dakika ya 69'
Simba bado hsifanyi mashambulizi zaidi nsona KMC wakishambulia zaidi
Ni wa bureKuna mtu Simba ameambiwa abane matumizi hawa wachezaji walionunuliwa wamafungu
🤣🤣🤣Hawa jamaa walienda kujaza kinyesi Cha Binadamu Kwa Mzee Dalali,uvumilivu zeroKuna watu watakumbushia 20bil mda si mrefuna ndio maana MO kaamua aweke mzigo wake kwenye boxing.
Makolo 1 - 2 KMC DKK 73Kampikie mumeo usije achwa kisha ushambenga....
Halafu leo wanamkataa aiseeeNdiyo best player wenu
Ngoja tuone,ila itapendeza wakipata alama moja au wasipate kabisaHuu msimu simba itateseka saaana
Kuwa mvumilivu ndugu, hata sisi tuliwahi kupita kipindi kigumu kuliko ninyi.Hii timu tunakoenda management ya Simba ijiandae kupigwa mawe uwanjani