Ligi Kuu Bara: Simba 2-2 KMC FC - Uwanja wa Mkapa, Sept 07 2022

Ligi Kuu Bara: Simba 2-2 KMC FC - Uwanja wa Mkapa, Sept 07 2022

Kuna watu watakumbushia 20bil mda si mrefuna ndio maana MO kaamua aweke mzigo wake kwenye boxing.
 
Piga hizo kolo.. wanadhani mwaka huu watapita kwa mbeleko..
Jana tulivyotoa sare walituona kama mataira vile.. na hapo bado wakikutana na Azam watakula mkono
Azam tutapiga simba 5
 
Dakika ya 69'
Simba bado hsifanyi mashambulizi zaidi nsona KMC wakishambulia zaidi
Hii timu ya kipumbavu sana....maneno mengi huyu babra na ponjoro wake wameua timu...
 
Benchi la ufundi ikiwa pamoja na mchambuzi wa mechi watazamwe vizuri. Pamoja na kuongoza kipindi cha kwanza lakini timu haikuwa nzuri katikati. Mabadiliko ya mapema yalihitajika ili kurudisha uhai wa timu. Sijajua ni vipi timu yenye vi wote hao ikazidiwa kati. Why wachezaji hawawezi kupiga pasi sijafika.
 
Back
Top Bottom