Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
🤣🤣🤣Ukiwasikia mikia wanavyoipamba timu yao utadhani kuna time kweli kumbe mavi matupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Ukiwasikia mikia wanavyoipamba timu yao utadhani kuna time kweli kumbe mavi matupu.
Bila shaka watachukua kombe la kufungwa 🤠🤠Na wamefanikiwa sana
Matola mara uko huku 😄😄Ukiwasikia mikia wanavyoipamba timu yao utadhani kuna time kweli kumbe mavi matupu.
DahGooooal Simba inafunga bao la kusawazisha hapa kwa kyombo
Kwamba kuna uwezekano wakawa wanatoa hongo kwa timu kubwa zijiangushe ambazo wanaamini watu wengi wataibetia?Makampuni ya kubeti yanaharibu mpiraa
Kwani timu gani inaongoza ligi mkuu?NARUDIA TENA SIMBA HATOKAAAAA TENA NAFASI YA KWANZA MPAKA MSIMU UISHE, UTOPOLO KWENYE COMEBACK WANAWEZA SIO HAWA
Uko upande gani?
Umeweza kuangalia Auntie?