Ligi Kuu Bara: Simba 2-2 KMC FC - Uwanja wa Mkapa, Sept 07 2022

Ligi Kuu Bara: Simba 2-2 KMC FC - Uwanja wa Mkapa, Sept 07 2022

Basi utakuta mechi kama hizi kocha wetu msaidizi wa kudumu anahamasisha wachezaji wake kucheza kwa jihad mpaka unashangaa.
 
Mtu atakula za kuvimbiwa leo! 5 namaanisha kama zile
2 0kwi
1 kaseja
1 sunzu
1 mutesa patrick mafisango{@Pettymagambo}
 
Nondo za Matola kuelekea mchezo wa leo Ligi Kuu Simba SC dhidi ya KMC FC
20220907_180252~2.jpg
 
Kila la kheri KMC.. hao Makolo washazoea kugawa URODA.. kwahiyo nyie Leo endeleeni kuwakaza tu
Dada endelea kumeza limao na kumumunya udongo... Shughuli ya wanaume usivalie kijora...
 
Back
Top Bottom