Ligi Kuu Bara: Simba 2-2 KMC FC - Uwanja wa Mkapa, Sept 07 2022

Basi utakuta mechi kama hizi kocha wetu msaidizi wa kudumu anahamasisha wachezaji wake kucheza kwa jihad mpaka unashangaa.
 
Mtu atakula za kuvimbiwa leo! 5 namaanisha kama zile
2 0kwi
1 kaseja
1 sunzu
1 mutesa patrick mafisango{@Pettymagambo}
 
Kila la kheri KMC.. hao Makolo washazoea kugawa URODA.. kwahiyo nyie Leo endeleeni kuwakaza tu
Dada endelea kumeza limao na kumumunya udongo... Shughuli ya wanaume usivalie kijora...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…