Kuna mechi jumamosi...Hii sio Simba Yetuuuu Mpira gani Wa Taratibu hivi?
Hawataki kuumia kwa katimu kadogo kama haka sema ndo kanawafungagaKuna mechi jumamosi...
Kama kawaida yetu babeTupo tunasapoti chama kubwa kabisa
Yah hatupoi hata watutukane hahaaaaKama kawaida yetu babe
Jumamos game babu kimataifa. Wacha wacheze kwa tahadhariHii sio Simba Yetuuuu Mpira gani Wa Taratibu hivi?
Ndio maana anaitwa putinIla kanoute jamani ni hanaga huruma wala ile asijui akimwangusha mtu ampe hata mkono anyanyuke
Na hiki ndio kinachokuja kunipa mashaka, mashabiki tuna loose hope kwa timu yetu kulingana na aina ya mchezo unaochezwa leo tunashindwa ku picture katika michuano hiyi ya CAF tutaweza kweli kwa mwendo huu?Kuna mechi jumamosi...
Unaumia kutokea wapi ndugu..Simba wanacheza kawaida saana, wasisisngizie kutunza energy lakini wachezaji hawako sawa kabisa
Kabisa very serious boyWanavyomuita Putin hawakukosea yaani..!
Vita ni Vita.[emoji28]Ila kanoute jamani ni hanaga huruma wala ile asijui akimwangusha mtu ampe hata mkono anyanyuke