Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Minyoo inakusumbuaKuangalia Bonanza ni kupoteza muda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Minyoo inakusumbuaKuangalia Bonanza ni kupoteza muda
hatutaki dharau hata kama tumekosa ubingwa,iyo ndoo sio kabisa yani![emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Buku Buku FC "Wakali Wa Michango"View attachment 2265810
[emoji23][emoji23] We Leo Umesahau Jinsi Mlivyokuwa Mkitudhihaki Misimu Iliyopita [emoji23]hatutaki dharau hata kama tumekosa ubingwa,iyo ndoo sio kabisa yani![emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
hatuwazidi nye mliocheza bonanza miaka 4 mfululizoMechi ya bonanza inaendelea leo
Unazungumzia zama hizi hapo chini.[emoji23][emoji23] We Leo Umesahau Jinsi Mlivyokuwa Mkitudhihaki Misimu Iliyopita [emoji23]
Ndo Hizo Hizo, Saiv Tupo Hapa [emoji116] [emoji23]Unazungumzia zama hizi hapo chini.
[emoji116]View attachment 2265826
Vumilia tu hayo ni maumivu ya kujitakiahatuwazidi nye mliocheza bonanza miaka 4 mfululizo
Mikia vp tena 🤣🤣🤣Goooooooooooooaaal gooal
Kabunda anaipatia KMC bao la kwanza | Simba SC 0-1 KMC FC
Ushakula 1Bampa to Bampa Mpaka Mwisho
Tumepoteza Ubingwa Lakini Hatuwezi Kupoteza Furaha Yaani
Kila la heri Mnyama Mkali Mwituni