Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-1 KMC FC | Uwanja wa Mkapa | Juni 19, 2022

00' Naaam mpira umeanza Uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 KMC FC
 
Kuna mithali husema maskini nakipata............................. Wamekosa kwa miaka mitano mfululizo tutegemee kisikia sauti ya mwata, mbwata!! Hongereni watani!!
 
Hawa mechi zao zingeamishiwa uwanja wa Gusta mwembeyanga wanamaliza umeme tu kucheza hapo kwa mkapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…